Nachangia tuu wakati tukiendelea kusubiri majibu ya JF Doctor.
Watu hawa wapo katika jamii yetu na hiyo hali ni genetic disorder kama ulemavu mwingine wowote wa kuzaliwa na wengi inabakia kuwa siri ya familia.
Hutokea wakati wa kuumbika mtoto baada ya fertilization ambapo hatua za awali za embryo watu wote hufanana ba kadri
Kiumbe kinavyoendelea kukua ndipo yale maumbile hufuata mkondo wa kike au kiume na hatimaye huzaliwa mtoto wa kike au wakiume.
Kuzaliwa na jinsia mbili hutokea pale ambapo jinsia zote mbili zimekuwa sambamba bila moja kufutika. Watoto wengi tuu huzaliwa na jinsia mbili ila marangi jinsia moja hufutika kadri anavyokuwa na huishia kubakiwa na jinsia moja.
Uamuzi ni jinsia gani inabaki unakuwa determined na hormone balance ya huyo mwenye jinsia mbili. Kama hormones za kike zimedorminate, anakuwa mwanamke na jinsia ya kiume inabaki tuu kama umbo, vivyo hivyo hormone za kiume zikizidi, anakuwa mwanaume na ile jinsia ya kike inabaki kama zuga tuu.
Bado sijasikia mtu wa jinsia mbili aakawa na seti mbili za hormone yaani akazitumia sehemu zote mbili sawasawa.
Huku kuzaliwa na jinsa mbili ni sawa na kuna wanawake wanazaaliwa na jinsia ya kike lakini homone za kiume, annaishia kuwa dume jike na hitimaye msagaji.
Kunawaume wamezaliwa na jinsia ya kiume lakini hormone za kike, utamuona anafanya mambo ya kikekike company yake mademu na ikitokea akapigwa back, hugundua huko ndiko starehe yake ilipo na hatimaye hugeuka chakula.
Wanaume wa aina hii ni wengi kwenye familia zetu lakini wengi wanaficha inabaki kuwa siri ya familia, wale wanaoshindwa kuvumilia ndio hao wanaojitokeza wazi kuvaa nguo za kike na kukubali majina ya Anti na ushoga ju yake.
Kuzaliwa na hormone za kike au kiume ni jambo moja na tabia ya ushoga ni jambo jingine ndio maana watetezi wa haki za binaadamu wanapigania haki ya freedom of expression ya hormone ulizozaliwa nazo hivyo mashoga ni wakuhurumiwa kama vilema wengine.
Kuna jamii ya Wahaya, hukivuta vuta clitoris-ya watoto wakike toka wadogo hivyo kinarefuka usawa wa kidole. Niliwahi kukutana na dada mmoja nikamuona hiyo kuvutwa kumezidi mpaka imekuwa kama jinsia ya kiume. Kwenye shughuli pia inasimama kuelekea kuziba usipite kwa urahisi. Kusema kweli huyo dada hakuchukua muda kufika kileleni. Ndipo nikagundua kwa nini Wahaya wavuta na mume wa mtu akifanya kosa kuwapitia . Anahama nyumbani kwake na kuhamia huko huku akiacha simulizi 'Wahaya si mchezo..'.