Picha ya Mtu Mwenye Jinsia ya Kike na Kiume: Maswali Magumu kwa JF Doctor

Hata waganda huvutanaga tangia watoto na kuwa virefu pia sana tu
 
mkuu umeelezea vilivo
 
Yeyote atakaye andika kitu hapa ningeomba sana ajiulize kwa nini hii kitu ipo sana India ambapo watu huoana mtu na dadake wa tumbo moja?
Msipigepige tu huko kando kando ila unganisheni dot. India ndo nchi inaweza kuwa inaongoza duniani kwa watu hao. Karibu kila hosp kubwa kule, yupo mmoja wao wa jinsi hiyo naye yupo pale kuwadaka hao waliozaliwa hivyo na kuwalinda wasije badilishwa.
 
Docta iweke post yako kwa kiswahili
 
Diva;
Unasema unachokijua au ni kusikia. Mafundi wa hiyo kitu ni Wakerewe/Wajita banaaaa chaaaa!!
Mkuu waganda mi ndo nafahamu na huanza kuvutana tangia wadogo had mashuleni kumbe had Wajita nao na Wakarewe
 

safi sana kaka kwa kweli umeeleza vizuri sana
 
Hata waganda huvutanaga tangia watoto na kuwa virefu pia sana tu
Kiukweli Wahaya asili yao na kwao halisi ni Uganda, na sii Wahaya na Waganda pekee, bali wanawake wote wa eneo lilokuwa la Interlocustrine Kingdom wakiongozwa na utawala wa Bunyoro, theu are all the same, sema tuu wakoloni walipokuja ndio wakaweka ile mipaka iliyopo mpaka sasa, Masaai ni wale wale, Jaluo na Luo ni wale wale, Wachagga na Akamba ni wale wale, Wamakonde ni wale wale, Wanyasa na Wamalawi are the same, japo tulimtwanga Iddi Amini, but he had a point! .
Pasco
 
Mkuu Thesaniofafrika, kwanza samahani kutokulizungumzia, leo ndio nimetembelea bandiko hili toka nilipo post, kwani kabila la Wahaya ni universal tribe?. Hakuna kabila lolote ambalo ni universal kabila lote, ila kwenye kila kabila kuna general rules na kuna exceptional to the general rules, na mengi ya mambo ya ndani ya makabila ni taboos, hivyo usitegemee kuna Mhaya atajitokeza na kukubali hayo yatafanyika, ila nimekueleza mimi ni shuhuda na sio kwa kuhadithiwa!.
Kwa vile kuna Kabila nyingine nyingi za Wahaya, kuna uwezekano sio lazima wote wafanye hizo makitu.

Pasco
 
Daaah juzi nimesikia kwenye radio BBC swahili mtoto kazaliwa huko Morogoro ana jinsia mbili. Halafu familia ni ya kiamskini baba mtu anatia huruma sana anaomba msaada wa nauki kwenda muhimbili.
 
 
 
Luckyline kuna kitu unataka kusema ila unasita, nimeishakisikia wala huna haja ya kukisema! . Naomba usiniulize nimejuaje.
Pasco
 
Luckyline kuna kitu unataka kusema ila unasita, nimeishakisikia wala huna haja ya kukisema! . Naomba usiniulize nimejuaje.
Pasco
Luckyline kuna kitu unataka kusema ila unasita, nimeishakisikia wala huna haja ya kukisema! . Naomba usiniulize nimejuaje.
Pasco
mmmmmmmmh????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…