Picha ya mwaka 2025...Mh. Tundu Antiphas Lissu atapaza sauti hata akipitishwa kwenye bonde la mauti!

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,603
Reaction score
23,991
1751089543885.png

Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi!​
  • Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza
  • Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza
  • Pamoja na kusubiri kunyongwa kabla ya hukumu hatanyamaza
Mh. Tundu Antiphas Lissu ni mtu na nusu...NO REFORM, NO ELECTION!
 
Mnajua kweli kumjaza mwenzenu ujinga huku nyie mpo nyuma ya keyboard zenu na vikombe vya maziwa moto,mwenzenu anaumia huko ukonga, watanzania wataacha lini unafiki na fitina za kusogoza.
 
Sisi wa LISSU na nyie mnaomwambia Samia, Deni la Nchi linaonekana kubwa kwakua linatajwa Kwa Shilingi ya Kitanzania .. ni nani anamjaza mwenzake Ujinga ???.
 
View attachment 3386388
Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi!​
  • Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza
  • Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza
  • Pamoja na kusubiri kunyongwa kabla ya hukumu hatanyamaza
Mh. Tundu Antiphas Lissu ni mtu na nusu...NO REFORM, NO ELECTION!
Sema keybord worrior, huu ndio ujinga wetu, Lisu anapaswa kuachana na kutetea wajinga
 
Mnajua kweli kumjaza mwenzenu ujinga huku nyie mpo nyuma ya keyboard zenu na vikombe vya maziwa moto,mwenzenu anaumia huko ukonga, watanzania wataacha lini unafiki na fitina za kusogoza.
sasa unabisha nini mjuba wakati umeshika mkia wa mbuzi na unaona kilichoko chini?
 
Mnajua kweli kumjaza mwenzenu ujinga huku nyie mpo nyuma ya keyboard zenu na vikombe vya maziwa moto,mwenzenu anaumia huko ukonga, watanzania wataacha lini unafiki na fitina za kusogoza.
Kwa kumbukumbu, Mh. Tundu Antiphas Lissu aliwahi kumiminiwa risasi za kumwangusha tembo. Tembo bila shaka angedondoka lakini Mh. Tundu Antiphas Lissu hadi leo na akinguruma tu CCM yote inaloa...kama una akili utaelewa!

Pamoja na Serikali ya CCM, Bunge la CCM na Mahakama ya CCM kumpa kila aina ya mateso, mwamba bado yupo. Wapo watu hawalali wakimhofia hata huko Ukonga alipo wanampa ulinzi 24/7 hata akienda uani wenye bunduki haooo!
 
View attachment 3386388
Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi!​
  • Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza
  • Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza
  • Pamoja na kusubiri kunyongwa kabla ya hukumu hatanyamaza
Mh. Tundu Antiphas Lissu ni mtu na nusu...NO REFORM, NO ELECTION!
. Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?

P
 
Back
Top Bottom