Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona anafanana na Mr. Nice sana
Kwani akifanana naye kuna ubaya? Haiondoi ukweli kua Kiba ana good looks.
Wamefanana kuna mshikaji namfaham anamfanana bushman kila kitu yaan unaweza fikiri ni bush man ukimuona
Pacha au babu yake
Hatujasema kuna ubaya ila si wamefanana???
Jamaa anamchukulia poa sana yule mshikaji ila ni matawi balaa.unamaindi nini sasa? wote si mastaa? tena N!xau ni internationally known