Picha ya 'Pacha' wa Ally kiba

Picha ya 'Pacha' wa Ally kiba

Kwani akifanana naye kuna ubaya? Haiondoi ukweli kua Kiba ana good looks.
 
Wamefanana kuna mshikaji namfaham anamfanana bushman kila kitu yaan unaweza fikiri ni bush man ukimuona
 
as long as wote ni binadamu mi sioni tatizo na ukizingatia wote ni waafrika na ni mastar mmoja internationally na mwingine locally hakuna tatizo.....

ila kama una lako la moyoni liweke wazi.....!!
 
Back
Top Bottom