Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi hiyo kwa pesa yake mfukoni? Yaani pointi ni nini kuweke sura yake hapo?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Msimamizi wa vyama vya siasa kazi yako ni nini? Au majukumu yako yanaishia kwa wapinzani pekee? CCM wanaenda kinyume na sheria left and right lakini kimyaaa mmeufyata. Halafu mnashangaa CHADEMA kutaka mabadiliko ya sheria, sheria ambazo hata mtoto anaona aibu kwa yanayofanyika!
Chawa ndio mmeona hii ndio njia bora kabisa ya kumfanya mama apendwe baada ya njia zote kubuma?

Bado moja haisomi wala mbili haisimami?

Ni shida sana kuwa na washauri ambao kichwani ni poda... kila siku ni kuaibika tu