Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Gharama ya hizo picha wangeweka kwenye ruzuku na kupunguza bei ya hiyo gesi ingekua ni debe nzuri ila lengo sio kupunguza gharama ni kupiga tu hizo hela za stika wanaona bora iwe hivyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanawaza maendeleo na ustawi wao halafu wewe unawaza nyama kama pakaNani anadanganywa na mtungi wa gesi wakati uwezo wa kununua kilo moja ya nyama apikie kwenye hiyo gesi aliyopewa bure hana?
Tunazungumzia CCM rushwa imewakolea hadi mnaihalalisha Kwa watanzania wengine.Upendo haulizimshwi. mama anapendwa na watanzania mpaka wanashindwa kujizuia hisia zao za upendo.
Wewe ndiye hutumia akili jinga weweHizi hekaheka za Samia si mchezo. Hata akili hazitumiki sasa
Kwa ivo kwako wewe watanzania wanaokula nyama unawalinganisha na paka?Watu wanawaza maendeleo na ustawi wao halafu wewe unawaza nyama kama paka
Ndio champion wa Nishati safiWakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi hiyo kwa pesa yake mfukoni? Yaani pointi ni nini kuweke sura yake hapo?
Msimamizi wa vyama vya siasa kazi yako ni nini? Au majukumu yako yanaishia kwa wapinzani pekee? CCM wanaenda kinyume na sheria left and right lakini kimyaaa mmeufyata. Halafu mnashangaa CHADEMA kutaka mabadiliko ya sheria, sheria ambazo hata mtoto anaona aibu kwa yanayofanyika!
Chawa ndio mmeona hii ndio njia bora kabisa ya kumfanya mama apendwe baada ya njia zote kubuma?![]()
![]()
Bado moja haisomi wala mbili haisimami?
Ni shida sana kuwa na washauri ambao kichwani ni poda... kila siku ni kuaibika tu![]()
Na wewe peleka ukagawe kama una ubavu. Ninyi si mnawaza kujaza matumbo yenu kama nguruwe.Mama anawaza namna ya kuwainua watanzania na kuwapa tabasamu.ndio maana anakubalika na kupendwa na watanzaniaTunazungumzia CCM rushwa imewakolea hadi mnaihalalisha Kwa watanzania wengine.
Mmewafanya wawe maskini hadi wanashukuru Kwa kupewa mtungi wa shilingi 20,000.
Hiyo nyama utakula mbichi kama 🐕Kwa ivo kwako wewe watanzania wanaokula nyama unawalinganisha na paka?
Anawaza kuwainua watanzania waliodidimizwa na nani?Na wewe peleka ukagawe kama una ubavu. Ninyi si mnawaza kujaza matumbo yenu kama nguruwe.Mama anawaza namna ya kuwainua watanzania na kuwapa tabasamu.ndio maana anakubalika na kupendwa na watanzania
Huo ubavu wa kununua nyama upo basi😄😀😃Hiyo nyama utakula mbichi kama 🐕
Kama Meneja wake wa Kampeni ni Steve Nyerere, Unategemea nini?Hizi hekaheka za Samia si mchezo. Hata akili hazitumiki sasa
Huyo siyo Steve Nyerere ni Steve Mengele. Au jina lake la utani la zamani ni Mr. Short😀😃😄Kama Meneja wake wa Kampeni ni Steve Nyerere, Unategemea nini?
Mkuu ni mwaka gani ulianza kumiliki card ya Chama cha mapinduzi hadi Sasa?Rais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Picha ya Rais Samia ipo hadi kwenye Mioyo ya watanzania. Sasa unashangaa vipi kuona picha kwenye mitungi ya Gas. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe.huwezi kushindana naye
A5 ndiyo nini?A5 ndio iliharibu nchi kwa mambo za uchawa.
Mama yupi labda mama yako ni kipenzi chako mwenyeweMama ni Kipenzi cha watanzania
MaWakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi hiyo kwa pesa yake mfukoni? Yaani pointi ni nini kuweke sura yake hapo?
Msimamizi wa vyama vya siasa kazi yako ni nini? Au majukumu yako yanaishia kwa wapinzani pekee? CCM wanaenda kinyume na sheria left and right lakini kimyaaa mmeufyata. Halafu mnashangaa CHADEMA kutaka mabadiliko ya sheria, sheria ambazo hata mtoto anaona aibu kwa yanayofanyika!
Chawa ndio mmeona hii ndio njia bora kabisa ya kumfanya mama apendwe baada ya njia zote kubuma?![]()
![]()
Bado moja haisomi wala mbili haisimami?
Ni shida sana kuwa na washauri ambao kichwani ni poda... kila siku ni kuaibika tu![]()
msimulaumu MAMA, sasa hivi CHAWA wamekuwa formalized mpaka mfumo umekuwa overwhelmed 😀Wakuu,