Pre GE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
gentleman,
hizo si dalili za wazi kabisa za kufilisika kisiasa?

Hayati baba wa Taifa mwal. J.K.Nyerere aliwahi kusema,
wanasiasa waliofilisika hoja, huanza kutumia ukabila, ukanda na udini kutafuta uongozi,

bandiko hili lina sifa za kufilisika hoja gentleman,
picha ina shida gani mathalan badala upike ugali na gas mambo yasonge?


kwahiyo mambo yanayohusu wananchi ni yale ya kujadili masuala ya vyeo na nafasi za uongozi kwa wanasiasa kama yale ambayo yalieleza na yule kibaka wa siasa kwa zaidi ya masaa matatu kumbe agenda ilikua ni kuomba kuchangiwa pesa, right?

ni muhimu sana ikafahamika wazi kwamba,
kila litakalobuniwa na kuanzishwa na kipenzi cha waTanzania Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kitaku na nembo ya picha yake, upende usipende itakua hivyo.
 
Wanawake hawafai kupewa madaraka makubwa kiasi hiki ana sasa tuna dhalilika na mambo yakipuuzi kama haya
 
Wanagawa bure? Na ukiisha anawajazia bure?
 
woga ni dhambi. na woga hawataiona mbingu., woga huzaa unafiki. Mwanadamu alizaliwa siku moja na atakufa siku moja. huwa ninauchukia sana unafiki,.

JESUS IS LORD&SAVIOR
wewe unaogopa nini kuandika hiyo JESUS IS LORD AND SAVIOR kwa kiswahili. na jina lako unaliandika kwa lugha isiyoyako?
 
Haya sasa yule aliyesema et CCM ina vijana makini aje aseme tena
 
Ufukara wa wananchi ni mtaji kwa ccm.
 
Wajinga ndio waliwao...uzuzu
 
Huku watu wamejipanga kukwangua picha ila kanda ya ufukweni wao wanasubiri chupi na vijora vyenye picha ya mweshimiwa.
 
Huwezi ukaelewa kama wewe ni kipofu wa akili na macho na uliyejazwa roho ya kishetani
Angalia Lucas, Mungu tunayemjua ana ukuu na uweza, matusi yako ya kipuuzi peleka kwa machawa wenzio. Usipoacha matusi na kutubu utajibu siku ya kufa na utakutana na ukuu wa Mungu utakuelekeza mahali pa kwenda ambapo si poa. Ni hatari kutetea kiongozi wako kiasi icho ata kuliko Mungu mwenyezi. Usifanye kiongozi wako kuwa Mungu wako.
 
Una haki ya kuzungumzia moyo wako tu..
Mioyo ya watu hapana, mi hayupo!
 
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ameinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…