Picha ya siku: Kinachoendelea Afrika Kusini

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa:

1. Uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.

2. Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.

3. Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.

4. Watu kuwa na chuki pamoja na vinyongo moyoni pasipo kujua hata adui yao ni nani.

5. Mgawanyo usio sahihi wa keki ya Taifa.Wachache ndiyo wanaofaidi cake hiyo.

6. Kukosekana kwa utawala wa sheria wa walio wengi,yaani sheria zimetungwa na wahuni wachache kwa manufaa yao.

7. Watu kuwa na matatizo ya akili yaliyochangiwa na umasikini wa kutupwa.

8. Taifa kuwa na watu wengi ambao hawana cha kupoteza kwa hiyo wapo tayari kwa lolote.

9. Watu kujua ukweli kuwa wananyonywa na system za uongozi pamoja na system za kugawa utajiri

10. Dalili za awali za failure state.

87654321.jpg
 
Kinachoendelea Afrika kusini baada ya kuwepo kwa:

1.Kwa uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.

2.Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.

3.Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.

4.Watu kuwa na chuki pamoja na vinyongo moyoni pasipo kujua hata adui yao ni nani.

5.Mgawanyo usio sahihi wa keki ya Taifa.Wachache ndiyo wanaofaidi cake hiyo.

6.Kukosekana kwa utawala wa sheria wa walio wengi,yaani sheria zimetungwa na wahuni wachache kwa manufaa yao.

7.Watu kuwa na matatizo ya akili yaliyochangiwa na umasikini wa kutupwa.

8.Taifa kuwa na watu wengi ambao hawana cha kupoteza kwa hiyo wapo tayari kwa lolote.

9.Watu kujua ukweli kuwa wananyonywa na system za uongozi pamoja na system za kugawa utajiri

10.Dalili za awali za failure state.

View attachment 1851524
huyo tena
IMG-20210713-WA0040.jpg
 
Duh jamaa wamebeba kitimoto kabisa
 
makaburu ndiyo wanawafanya wanashindwa kujitafutia maisha bora??

wataendelea kuwa watumwa wa historia mpaka lini?
Wao wanaamini maisha yao yamevurugwa na makaburu.

Na kwakuwa hawana uwezo wa kuwafanya chochote sasahivi wanaamini mchawi wao mkubwa ni wahamiaji wanaoingia nchini kwao.
 
Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa:

1.Kwa uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.

2.Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.

3.Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.

4.Watu kuwa na chuki pamoja na vinyongo moyoni pasipo kujua hata adui yao ni nani.

5.Mgawanyo usio sahihi wa keki ya Taifa.Wachache ndiyo wanaofaidi cake hiyo.

6.Kukosekana kwa utawala wa sheria wa walio wengi,yaani sheria zimetungwa na wahuni wachache kwa manufaa yao.

7.Watu kuwa na matatizo ya akili yaliyochangiwa na umasikini wa kutupwa.

8.Taifa kuwa na watu wengi ambao hawana cha kupoteza kwa hiyo wapo tayari kwa lolote.

9.Watu kujua ukweli kuwa wananyonywa na system za uongozi pamoja na system za kugawa utajiri

10.Dalili za awali za failure state.

View attachment 1851524
Tatizo limeanza na Jacob Zuma kutotii amri halali ya mahakama huku akijua mahakama ina uwezo wa kumchukulia hatua !!.
Viongozi wa ki Africa shida sana.
 
Back
Top Bottom