Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh!!!
Upi kijana wangu wa CCM😀😀😄
Chadema acheni Utoto bwashee!
Duh Mbowe ananawiri tu kwa Kodi za Watanzania. Ona hao viongozi wenzake walivyopigika.
Huwa huwezi kuficha roho yako mbaya na umasikini uliojichora mwili mzima!Mbowe ana dhiki gani hata asingekuwa siasani kumlinganisha na wewe msakatonge?Duh Mbowe ananawiri tu kwa Kodi za Watanzania. Ona hao viongozi wenzake walivyopigika.
Wewe huko ccm ni kundi gani? Wazazi au?😀😀😄
Chadema acheni Utoto bwashee!