Mh!!!
Upi kijana wangu wa CCMπππ
Chadema acheni Utoto bwashee!
Duh Mbowe ananawiri tu kwa Kodi za Watanzania. Ona hao viongozi wenzake walivyopigika.
Huwa huwezi kuficha roho yako mbaya na umasikini uliojichora mwili mzima!Mbowe ana dhiki gani hata asingekuwa siasani kumlinganisha na wewe msakatonge?Duh Mbowe ananawiri tu kwa Kodi za Watanzania. Ona hao viongozi wenzake walivyopigika.
Wewe huko ccm ni kundi gani? Wazazi au?πππ
Chadema acheni Utoto bwashee!