Picha ya siku: Rais Samia akicheza mchezo wa bao na Waziri Ndumbaro

Picha ya siku: Rais Samia akicheza mchezo wa bao na Waziri Ndumbaro

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Snapinsta.app_461159712_18252940711258462_7403204244898676463_n_1080.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.​

Snapinsta.app_461026937_18252940720258462_8309771574551207431_n_1080.jpg
 
Tangu nianze kupiga kura zaidi ya chaguzi 10 zilizopita nilipata chaguzi moja tu mwaka 1975, mbunge niliemchagua padre Severini SUPA alishinda alimshinda Padri Simon Chiwanga tangu hapo chaguzi zangu zote huwa ninakosa maana huwa ninapigia wapinzani ila safari hii nitampigia Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais aminifurahisha sana namna ya uongozi wake . lazima kura yangu ataipata
 

Attachments

  • IMG-20240924-WA0038.jpg
    IMG-20240924-WA0038.jpg
    56.7 KB · Views: 7
Hapo hata kama Waziri ana nafasi ya kushinda yupo radhi ajikoseshe ilimladi tu Samia ashinde na yeye awe ametetea ugali wake kidizaini. Uchawa kazi sana
 
Kwa vyovyote hapo Ndumbaro alikuwa anajikosesha. Amshinde boss hajitakii mema?
 
Back
Top Bottom