Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Mlamba mataccos! Bureeee kabisaaaNdugu zangu Watanzania,
Hii ndio Picha ya Siku kutoka Bungeni ikiwaonyesha Viongozi wetu na watumishi wetu Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mheshimiwa Jesca Magufuli vijana wetu wachapakazi,wacha Mungu,wapole wanyenyekevu,wasio na Makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau kwa mtu.
Vijana ambao wamelelewa katika maadili mazuri na yenye kupendeza na kuigwa na kila mtu. Maadili ambayo huwezi hata kujua au kutambua kama ni watoto ambao Baba zao waliwahi kuongoza Taifa letu kama Ma Rais. Vijana ambao huwezi kuona au kukuta wakijikweza au kutumia Majina ya Baba zao kuringa au kujivunia au kumuonea mtu au kuvunja sheria.
Ni vijana wastaarabu ,wakarimu ,washeshi ,wenye mioyo ya huruma ,upendo na uungwana mkubwa sana. Ni vijana ambao wamesaidia wengi na kufikika kwa urahisi kabisa na yeyote mwenye shida. Ni vijana ambao kwao cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. Ni vijana ambao kwao uongozi ni kwa ajili ya kuwatumikia watu na Kugusa maisha ya watu.
Sasa katika hali ya Mpango wa Mungu wameweza kukutana Bungeni . Hii ni historia na hajawahi kutokea tangia kupata uhuru wa Taifa letu kwa watoto wa wakuu wa nchi ambao Baba zao walikuwa Ma Rais kuweza kuwepo Bungeni kwa wakati mmoja.
Ikumbukwe ya kuwa vijana hawa na viongozi wetu hawa hawapo Bungeni kwa sababu ya upendeleo au kwa kutumia majina ya Baba zao. Bali wapo Bungeni kutokana na uwezo mkubwa wa kiuongozi walionao,uchapakazi wao,kukubalika mbele ya jamii na kuungwa mkono na wengi. Ndio sababu wakaungwa mkono na wengi na kuchaguliwa kuingia Bungeni.
Kwa hakika vijana wengine tuna kila sababu ya kuiga kutoka kwa viongozi wetu hawa. Ikumbukwe Ikulu kumekuwa kama kwao nyakati za Urais wa Baba zao. Lakini pamoja na kuishi Ikulu bado ni wanyenyekevu,wenye adabu ,heshima ,utu,uungwana ,usikivu kwa watu pamoja na kuendelea kuwa pamoja na watu na kushirikiana na kila mtu bila ubaguzi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kwa hakika hawa vijana wanastahili pongezi kubwa sana kutoka kwetu na kuendelea kuwaunga mkono.
Tuache wivu ,chuki na mioyo ya korosho. Aliyebarikiwa kabarikiwa tu . Aliyeinuliwa na Mungu kainuliwa tu. Aliyepewa kibalia na Mungu kupewa tu na wala hawezi kushushwa na mwanadamu mwenye chuki binafsi na wivu usio na Msingi.View attachment 3500400
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Gen Z sio kabisa asee.
Uwe na adabuMlamba mataccos! Bureeee kabisaaa
Chuki binafsi na wivu ndio vinavyo kusumbua na vitakuuwa mwaka huu.Bunge la mafilauni..wauaji, Mabwenyenye, wezi wa kura, wabakaji wa HAKI, wauzaji wa raslimali za Tanganyika...
ššššTatizo viti maalum ni kwa ajili ya wanawake pekee ndio maana imekuwa ngumu kukupa ulaji.
Unapambana sana na natumai kwenye mkeka wa wakuu wa wilaya utakuwepo
Its stupidity kushangilia vifo vya vijana innocent zaidi ya 10,000 katika taifa lao HURU - Maskini vijana wasio na hatia wanauawa kwa SMG, vijana wasio na wala Gobore unapora uhai wao at average age ya 18 to 25 afu bila hata kujuta unajiita wewe ni KIONGOZI...useless.Chuki binafsi na wivu ndio vinavyo kusumbua na vitakuuwa mwaka huu.
Huyu hawezi kuelewa Mkuu,Its stupidity kushangilia vifo vya vijana innocent zaidi ya 10,000 katika taifa lao HURU - Maskini vijana wasio na hatia wanauawa kwa SMG, vijana wasio na wala Gobore unapora uhai wao at average age ya 18 to 25 afu bila hata kujuta unajiita wewe ni KIONGOZI...useless.
Inauma saana.
Hiyo siku mbona ishafika, kwani haupo Tanzania hii ?Kuna siku bunge litajaa watoto wa waliokuwa wabunge mawaziri na Marais na mishahara Yao watakuwa wanawalipa machawa na kuitafuna nchi haswa
Nimewaza nikujibu lakini nilivyotafakari nikahisi nitakua namjibu Robot sithani kama wewe ni mtu maana maneno Yako hayana hisia kabisaNdugu zangu Watanzania,
Hii ndio Picha ya Siku kutoka Bungeni ikiwaonyesha Viongozi wetu na watumishi wetu Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mheshimiwa Jesca Magufuli vijana wetu wachapakazi,wacha Mungu,wapole wanyenyekevu,wasio na Makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau kwa mtu.
Vijana ambao wamelelewa katika maadili mazuri na yenye kupendeza na kuigwa na kila mtu. Maadili ambayo huwezi hata kujua au kutambua kama ni watoto ambao Baba zao waliwahi kuongoza Taifa letu kama Ma Rais. Vijana ambao huwezi kuona au kukuta wakijikweza au kutumia Majina ya Baba zao kuringa au kujivunia au kumuonea mtu au kuvunja sheria.
Ni vijana wastaarabu ,wakarimu ,washeshi ,wenye mioyo ya huruma ,upendo na uungwana mkubwa sana. Ni vijana ambao wamesaidia wengi na kufikika kwa urahisi kabisa na yeyote mwenye shida. Ni vijana ambao kwao cheo ni dhamana na utumishi kwa watu. Ni vijana ambao kwao uongozi ni kwa ajili ya kuwatumikia watu na Kugusa maisha ya watu.
Sasa katika hali ya Mpango wa Mungu wameweza kukutana Bungeni . Hii ni historia na hajawahi kutokea tangia kupata uhuru wa Taifa letu kwa watoto wa wakuu wa nchi ambao Baba zao walikuwa Ma Rais kuweza kuwepo Bungeni kwa wakati mmoja.
Ikumbukwe ya kuwa vijana hawa na viongozi wetu hawa hawapo Bungeni kwa sababu ya upendeleo au kwa kutumia majina ya Baba zao. Bali wapo Bungeni kutokana na uwezo mkubwa wa kiuongozi walionao,uchapakazi wao,kukubalika mbele ya jamii na kuungwa mkono na wengi. Ndio sababu wakaungwa mkono na wengi na kuchaguliwa kuingia Bungeni.
Kwa hakika vijana wengine tuna kila sababu ya kuiga kutoka kwa viongozi wetu hawa. Ikumbukwe Ikulu kumekuwa kama kwao nyakati za Urais wa Baba zao. Lakini pamoja na kuishi Ikulu bado ni wanyenyekevu,wenye adabu ,heshima ,utu,uungwana ,usikivu kwa watu pamoja na kuendelea kuwa pamoja na watu na kushirikiana na kila mtu bila ubaguzi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kwa hakika hawa vijana wanastahili pongezi kubwa sana kutoka kwetu na kuendelea kuwaunga mkono.
Tuache wivu ,chuki na mioyo ya korosho. Aliyebarikiwa kabarikiwa tu . Aliyeinuliwa na Mungu kainuliwa tu. Aliyepewa kibalia na Mungu kupewa tu na wala hawezi kushushwa na mwanadamu mwenye chuki binafsi na wivu usio na Msingi.View attachment 3500400
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu unalipwa kiasi gani per month ?Ndugu zangu Watanzania,

Mimi silipwiMkuu unalipwa kiasi gani per month ?
Je unaionaje nawe uwaombe wakupe kauteuzi angalau ukae kwenye hivyo viti vyekundu?
Mama hatoshiNdugu zangu Watanzania,

Lazima utakuwa mgonjwa wa akiliCCM itaendelea kuongoza Taifa letu mpaka Mwisho wa Dunia.
Watoto wa ma Rais.Ndugu zangu Watanzania,