PostGE2025 Picha ya Siku: Ridhiwani Kikwete pamoja na Jesca Magufuli katika utulivu mkubwa Bungeni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mlamba mataccos! Bureeee kabisaaa
 
Bunge la mafilauni..wauaji, Mabwenyenye, wezi wa kura, wabakaji wa HAKI, wauzaji wa raslimali za Tanganyika...
 
Bunge la mafilauni..wauaji, Mabwenyenye, wezi wa kura, wabakaji wa HAKI, wauzaji wa raslimali za Tanganyika...
Chuki binafsi na wivu ndio vinavyo kusumbua na vitakuuwa mwaka huu.
 
Tatizo viti maalum ni kwa ajili ya wanawake pekee ndio maana imekuwa ngumu kukupa ulaji.

Unapambana sana na natumai kwenye mkeka wa wakuu wa wilaya utakuwepo
😂😂😂😂
 
Chuki binafsi na wivu ndio vinavyo kusumbua na vitakuuwa mwaka huu.
Its stupidity kushangilia vifo vya vijana innocent zaidi ya 10,000 katika taifa lao HURU - Maskini vijana wasio na hatia wanauawa kwa SMG, vijana wasio na wala Gobore unapora uhai wao at average age ya 18 to 25 afu bila hata kujuta unajiita wewe ni KIONGOZI...useless.
Inauma saana.
 
Huyu hawezi kuelewa Mkuu,
Hii ndiyo product CCM wanayozalisha hasa huko vijijini ilihali watoto wao wanasoma Feza, IST na nje ya nchi.
 
Kuna siku bunge litajaa watoto wa waliokuwa wabunge mawaziri na Marais na mishahara Yao watakuwa wanawalipa machawa na kuitafuna nchi haswa
 
Nimewaza nikujibu lakini nilivyotafakari nikahisi nitakua namjibu Robot sithani kama wewe ni mtu maana maneno Yako hayana hisia kabisa

Ni kama unaongea ulichoagizwa sijawahi kuona ulisema madhaifu ya hao viongozi wako Kila siku ni kuwasifia na kuwatukuza kama wewe ni binadamu unapaswa kujitafakari sana madhara mengi ya hao viongozi wako yameonekana wazi kabisa lakini kutwa kucha ni kuwaabudu tu maisha yetu ni ya muda mfupi sana hapa duniani madaraka yasiondoe maana ya maisha

Ukumbuke wanaotekwa na kuuwawa Kila siku na hiyo serikali unayoisifia na kuitukuza najua kwako ni kama mbwa na mbuzi ambao Nina hakika hao ndio watafika mapema kwenye msiba wako ila nikuhakikishie haiwezi kumuona Ridhiwani, Jesca magufuli Wala Samia
 
Mkuu unalipwa kiasi gani per month ?
Je unaionaje nawe uwaombe wakupe kauteuzi angalau ukae kwenye hivyo viti vyekundu?
 
Mama hatoshi
 

Attachments

  • 6ca194063178c0ee498d20b8e26dedee.mp4
    366.4 KB
Watoto wa ma Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…