Picha ya siku

Picha ya siku

ANCIENT FROM EGYPT

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
927
Reaction score
1,136
Bibi Teresia Andrea Ghuliku mwenye Umri wa miaka Sabini na Tatu (73), mkazi wa Kijiji cha Siuyu, kata ya Siuyu Mkoani Singida kwa Umakini akisikiliza na kuandika kwenye Daftari lake Hotuba Nzima ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu. Daniel Chongolo aliyoitoa leo Mkoani Singida.

1690137134785.png

1690137210091.png
 
Hivi ule msemo kuwa mtu anavyozidi kuzeeka na akili zinazidi kuwa kama za mtoto hivi ni kweli?

Au maneno tu?
Hauko mbali kufikia level ya uzee mkuu...subiri tu utafikia na hautauliza tena.
 
Back
Top Bottom