ANCIENT FROM EGYPT
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 927
- 1,136
Bibi Teresia Andrea Ghuliku mwenye Umri wa miaka Sabini na Tatu (73), mkazi wa Kijiji cha Siuyu, kata ya Siuyu Mkoani Singida kwa Umakini akisikiliza na kuandika kwenye Daftari lake Hotuba Nzima ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu. Daniel Chongolo aliyoitoa leo Mkoani Singida.