stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
haahhaha tupe pichaUyoga una mambo mengi sana.
Kuna uyoga unaota msituni, huo ukiukanyaga lazima upotee.
Kuna uyoga ukiula unakuhamisha dimension.
Katika familia,kama wameupika baba ndio utatumika kwa majaribio.Tatizo la uyoga unafanana. Ulio sumu na usio sumu yote sawa tu kwa kutazama.
Magic mushrooms , upo manyara , unatoa aina Fulani ya pollens ambazo ni kilevi kikali mnoUyoga una mambo mengi sana.
Kuna uyoga unaota msituni, huo ukiukanyaga lazima upotee.
Kuna uyoga ukiula unakuhamisha dimension.
hahahaUyoga makoko dai, huo.
Hauchelewi kutoa povu mdomoni. Lol
huo mara nying unakuwa selected huwez kupata wenye sumuMe hutumia wa kwenye makopo. Huwa napenda kuweka kwenye Chinese rice au pizza
huo mara nying unakuwa selected huwez kupata wenye sumu
Uwanaume jalala aisee. Ukianza kutoa mapovu wanapiga yowe..Katika familia,kama wameupika baba ndio utatumika kwa majaribio.
Umerudi zako mishe unakuta ugali na uyoga kwenye chungu.
Ukila ukamaliza ndio unaona mama na watoto nao ndio wanaanda mkeka waanze kula.
😂😂😂😂😂hahaha
😂😂😂😂Uwanaume jalala aisee. Ukianza kutoa mapovu wanapiga yowe..
Kwa Africa, tunayo Amanita phalloides, tofauti na Amanita citrina ambayo hupatikana North America na Europe, inafanana ila hiyo Citrina ni false Death trap, ya kwanza ni Death trap.Hizi ni uyoga wa aina ya False Deathcap (kwa Kiingereza), au kwa Kiswahili tunaweza kusema Uyoga wa Kifuniko cha Kifo cha Uongo au Amanita citrina (jina la kisayansi).
Hii ni aina ya kawaida sana inayopatikana kwenye misitu, hasa chini ya miti kama mialoni au mibeech (beech), na mara nyingi hukua kwa makundi kama hivi unavyoonyesha.
Vipengele vya kutambua vinavyoifanya iwe False Deathcap:
- Kofia (cap) ni ya manjano nyepesi au limau (lemon-yellow), wakati mwingine ina rangi kidogo ya kijani kibichi.
- Shina ni jeupe, lina pete (ring) kama sketi, na chini yake kuna mfuko mweupe mkubwa (volva) unaofanana na kikombe.
- Mara nyingi huwa na vipande vyeupe vidogo juu ya kofia (veil remnants).
- Harufu yake ni kama viazi mbichi au viazi vilivyopikwa vibaya.
Hii haina sumu kali kama ile ya hatari, lakini haipaswi kuliwa kwa sababu ina ladha mbaya sana na inaweza kuchanganyikiwa na uyoga hatari zaidi.
Kulinganisha na Death Cap halisi (Amanita phalloides – Uyoga wa Kifo au Kifuniko cha Kifo):
- Death Cap huwa na rangi ya kijani kibichi au olive-green, kofia laini bila vipande vingi vyeupe, na harufu tamu kama asali wakati mwingine.
- Ni sumu kali sana na inaweza kusababisha kifo ikiwa utaila.
Hii inayokupendeza ni False Deathcap – sio hatari ikiwa hautaila, lakini usijaribu kuila kamwe bila uhakika wa wataalamu wa uyoga (mycologists). Ni nzuri kwa picha tu!
Takbiriiii huu ni wahy umeshuka kutoka kwa Allah 👶Uyoga una mambo mengi sana.
Kuna uyoga unaota msituni, huo ukiukanyaga lazima upotee.
Kuna uyoga ukiula unakuhamisha dimension.