Picha ya uyoga unaosadikika kuwa na sumu

Hivi mpaka mtu anakula uyoga inakuwa amekosa mboga au ndio asili?
Ubahili tu kutaka mseleleko wa kuona mauyoga yamejiotea yeye anafakamia tu.

Yaani binaadamu tuna shida sana ,utakuta mtu anakula Mchunga ,anakula majani ya mlonge kama mboga ,fungu la mchicha ,fungu la chinese ,fungu la matembele ,fungu la majani ya maboga yote wanauza Tsh 500 ,yanini kwenda kula mavitu ambayo yanajiotea hovyo hovyo na kurisk afya?
 
1769420229512.jpg
aisee nakula uyoga,
 
Ubahili tu kutaka mseleleko wa kuona mauyoga yamejiotea yeye anafakamia tu.

Yaani binaadamu tuna shida sana ,utakuta mtu anakula Mchunga ,anakula majani ya mlonge kama mboga ,fungu la mchicha ,fungu la chinese ,fungu la matembele ,fungu la majani ya maboga yote wanauza Tsh 500 ,yanini kwenda kula mavitu ambayo yanajiotea hovyo hovyo na kurisk afya?
Huwa inasikitisha sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom