Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza.


Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
 
some sort of a disagreement on a point.......................................
 
Anakula kiapo hapo si kizuri hata kidogo roho ya madaraka shetanni anatawala hapo
 
Mama nasikia umepuuza waraka wa Maaskofu...ni kweli?

Hapana Baba mtakatifu, niliwaalika hata kushuhudia utiaji saini na walikula na pilau Ikulu magogoni🤣😂
 
Papa samaki: hakikisha unawatetea waliwa vijambio huko uswahilini
Bibi chau: hilo nalo nitaliangalia na kulitekeleza
Lakini waswahili tumezidi ukitupa picha tuu maneno tunatia wenyewe 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…