Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Hii ni kweli kabisa,mtu ajishushe kwa mapenzi yake mwenyewe ila sio ajishushe kwa mtu asiyemthamini maana hayo sio maisha kabisaaaaa.....
Hapo sio kabisa, jishushe na mtu aone dhamani yako, lakini eti jishushe yeye ndiyo apate fimbo ya kukuchapia,
hapana kwa jinsi Mungu kanipa akili nitajitafutia mwenyewe aende tu huko
 
Ha ha ha ha yaani hapo mahari unaweza kuambiwa leta pakti mbili za dagaa uchukue mke
 
Kwa wasioelewa thamani yao watafanya hivyo,na watatoa kwa wanaume wasiojielewa pia
Tembea uone au kuwa uyaone. Hata sasa wapo wanawake wanaowatolea mahari wanaume wawapendao japo huwa hawatoi direct hutoa indirect. Mwanamke anampa mwanaume hela anamuambia njoo nyumbani unitolee mahari.
 
Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.

Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC

View attachment 769257h
Aseee
 
Back
Top Bottom