Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Na wao wapo hapo kufundishwa jinsi ya kuwa wake bora. Sio tu kupata mume sahihi.
Wakati wanaenda kuangalia km hao ma boy friend wao n sahihi ..jee na wao (nyie) wamejichunguza km wako sahihi .....acheni mambo ya shortcut wanawake ..mnataka kuolewa hakikisheni kwel MNA sifa za kuolewa na sio kwenda kwenye makongamo
 
Si haba ni warembo hakika,..wakaka embu oeni jamani khaa hivi kwa mfano dadako yuko hapo unajisikiaje moyoni...oeni na nyie Dada zenu wapate neema ya kuolewa lol[emoji23][emoji23][emoji23]...
Ha ha wamatutukana matusi tukiwasimamisha barabararani. Labda waume wanatoka mbinguni bhana
 
Ndio mnapoanzia kuchagua sio?...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa inamaana ukiamka asubuhi tu unakutana na mtu eti nakupenda nakukubali hapo hapo
bila kujua ni nani si utakubali na majini?
 
Wengi hamjaelewa hilo kongamano. Hao wadada hapo sio tu ni wale ambao umri umeenda hawajaolewa. Wapo ambao ni wasichana wenye umri wa kawaida na wana boyfriends zao lkn wameenda hapo kumuomba Mungu awaonyeshe kama kweli aliye nae ni sahihi, na wapo pia wanaoomba wapate mume bora.
Sasa nyie mmeconclude kuwa wamekosa waume. Haipo hivyo!
Ndivyo ilivyo ni wanawake hawajaolewa mabinti wote huwekwa kapu moja ili wapate kujitambua
 
Mbona mpiga picha kapiga sehemu moja tu ya walengwa, wananawake wa Bongo muvi wako wapi?
 
Wangesema wasichana wasiooleka!!

Mtu ana miaka 35 yupo yupo tu.
Huyo haoleki
 
Wangesema wasichana wasiooleka!!

Mtu ana miaka 35 yupo yupo tu.
Huyo haoleki
Kuolewa nayo bahati bwana wewe riziki ikifika anaolewa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom