Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Tuliopitia madrasa tunajua kwa nini hawaolewe.Mtume(S.AW) kuna sifa 4 za mwanamke zitamfanya aolewe.Je wanazo?
 
Wengi hamjaelewa hilo kongamano. Hao wadada hapo sio tu ni wale ambao umri umeenda hawajaolewa. Wapo ambao ni wasichana wenye umri wa kawaida na wana boyfriends zao lkn wameenda hapo kumuomba Mungu awaonyeshe kama kweli aliye nae ni sahihi, na wapo pia wanaoomba wapate mume bora.
Sasa nyie mmeconclude kuwa wamekosa waume. Haipo hivyo!
 
Kumbe singleness inamaanisha WASIOOLEWA?
Neno wasioolewa lina ukakasi na linaweza lisilete maana kusudiwa.

Nafikiri inamaanisha kongamano la "Watu ambao bado hawajaolewa/hawajaoa"

Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn,
 
makanisa ya kikristo yaangalie upya sheria,watu waweze kuoa wanawake angalau kuanzia 2
Kwani kule Eritrea ambako wanaume waliambiwa waoe wake wawili kutokana na idadi kubwa kufa katika vita na ethiopia, kanisa walisemaje? hutakiwi kuwa mtumwa wa sheria za kanisa, bali unatakiwa kuishi katika kusudi la Mungu
 
Hivi Vijana msiooa mkiongozwa na Ruge mbona mnawatesa hivi kina dada?

Mwanamke hatakiwi kubembelezwa ama kupendwa kwani ukimfanyia hivyo anakuona lofa au lijamaa la Dar....Mwanamke anatakiwa kuwa na washindani ili akupe heshima kama wafanyavyo Ruge na Diamond, chezea akili kina dada na wagombanishe ili wachafuane mitandaoni.
 
Wako wapi hao jamani nikachukue mmoja,natafuta mke mimi
 
Wengi hamjaelewa hilo kongamano. Hao wadada hapo sio tu ni wale ambao umri umeenda hawajaolewa. Wapo ambao ni wasichana wenye umri wa kawaida na wana boyfriends zao lkn wameenda hapo kumuomba Mungu awaonyeshe kama kweli aliye nae ni sahihi, na wapo pia wanaoomba wapate mume bora.
Sasa nyie mmeconclude kuwa wamekosa waume. Haipo hivyo!
Wakati wanaenda kuangalia km hao ma boy friend wao n sahihi ..jee na wao (nyie) wamejichunguza km wako sahihi .....acheni mambo ya shortcut wanawake ..mnataka kuolewa hakikisheni kwel MNA sifa za kuolewa na sio kwenda kwenye makongamo
 
Mimi ni Mkristo na nampenda Yesu Kristo.

Msomi na mjasiriamali

Sina kipato kikubwa sana

Ninahitaji mchumba wa kumuoa, Mkristo mwenzangu.

I'm very serious in this.

Ahsante.
 
Pamoja na mafunzo ya dini na kila kitu..kama wao wenyewe hawatajua kwanini hawaolewi na ni wapi wajirekebishe watahudhuria tu hizi semina elekezi.
 
Wakati wanaenda kuangalia km hao ma boy friend wao n sahihi ..jee na wao (nyie) wamejichunguza km wako sahihi .....acheni mambo ya shortcut wanawake ..mnataka kuolewa hakikisheni kwel MNA sifa za kuolewa na sio kwenda kwenye makongamo
Very good.

Hiyo tathmini ya vigezo iwe two way traffic nao wajitazame ni wapi wamejikwaa.
 
hao wawili wa kwanza (akiwemo huyo mwenye sketi ya njano) nauhakika ndani ya siku tatu watu lazima wapeleke posa
 
hao wawili wa kwanza (akiwemo huyo mwenye sketi ya njano) nauhakika ndani ya siku tatu watu lazima wapeleke posa
Afu wanakumbana na vigezo vilivyowafanya wawepo hapo in the first place [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom