Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Kwa sasa nyuso hazina furaha, wakipata cheko mpaka kule, baada ya miaka kadhaa yanaanza malalamiko, mume mlevi, ananinyanyasa, ananitukana, hajuwi kufanya, mbahili, anataka kila sukari kila wakati, anachelewa kurudi, ana...
kumridhisha mwanamke yahitaji nguvu za ziada na ujasiri usio kifani..
 
Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.

Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC

View attachment 769257
Sijaafiki kichwa cha somo. kwa ninavyowaona bado sio wazee kwa hiyo ingefaa kichwa cha somo kisomeke WASICHANA WANAOTAFUTA KUOLEWA AU WACHUMBA ni hayo hayo tu.
 
Nahitaji kuanzisha kiwanda cha kuuza karanga mbichi,,, marachichi ,,,pweza ww kuchoma na mihogo,,,,

Watanifaa kuanzia hao tena watapata fursa zingine wakiwa kazini
 
Iwapi la ambao hawajaoa. Kumbe ile wazo la RC kutokuozesha bila Kuwa na Kufuli la toka kuzaliwa hakuna ndoa ina lengo la kuwaokoa hawa. Maana chovya chovya ndiyo imesababisha kokosekana waoaji.
 
Shidaa sana wajiangalie Mara mbili mbili umorden wao ndio kigezo #1 ikichangiwa na Kuangalia series za kichina kihindi kijapan, Philippines, koreaans au kule kwa kina Erduwardo , Yan unakuta mtu kuanzia asubuh hadi jion anaangalia huo upuuxi na by time ananza kuforget kuwa yy ni mbongo na atakuja kuolewa na mbongo afu kwenye mahusiano umletee umbele , Anachapa lapa afu spidi sana...
Cha kushangaza zaidi leo katika pitapita zangu kwenye page za Fb nimekutana na mtu anaehitaji kufahamu gharama za kwenda Korea,ss sijajua lengo la mhusika ni kwenda kuonana na kina Edwardo au lah!
 
Uislam tayari umeshatoa jibu wa hili tatizo,kweli uislam ni dini ya Mungu

Sura An-Nisa 4:3 "Oweni wawili au watatu au wanne. Lakini ikiwa unaogopa kwamba huwezi kuwatendea haki, basi owa moja" Hivyo ni bora kwako kwani hakuto kupeleka katika kutenda maovu(usawa kwa mwanamke)

Binadamu anatakiwa anze kuowa wake wawili kama anaweza kuwatendea haki(ikiwemo haki ya ngoo) wanawake uliowaoa lakini kama unaona huwezi kuwatendea haki basi owa mmoja tu

Wanawake wako wengi duniani,moja katika njia ya kuwasitiri ni kuwaoa zaidi ya mmoja
 
Back
Top Bottom