chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,189
Very true, wayakubali maandiko ya vitabu vitakatifu,waache kufata mambo ya KIBEIJINGWameshindwa ishi kama wanawake, wanataka ishi kisanii na wanataka 50/50. Hakuna mwanaume aliye tayari kukaa na mtu ambae anamuwekea masharti.