kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 679
27 years old, sijawahi pata shinikizo la kuoa si kutoka moyoni, wala wazazi,wala mchungaji wangu,wala ndugu na jamaa zaidizaidi kuna binti tu ananishinikiza eti nioe. najiuliza ndoa ina nini hata mabinti waitamani kiasi hicho napata jibu wengi wanahisi kuto olewa ni kama mkosi au laana kitu ambacho si kweli.