Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ni tabia tuuhahahaha kumbe ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tabia tuuhahahaha kumbe ni nini?
Wana nyodo balaa,ukimsalimia atakuangalia chini hadi juu kisha anakusonya au kukutema mate.ndo maana hatuwaowi maana mpaka amekubali kugegedwa ujue kaishiwa mate anataka umwongezee mengineHuyo dada wa katikati si niliwahi kumchumbia akakataa sasa kafata nini huko?
KabisaYawezekana mashauzi na machaguzi mengi....
Ndo hivyo si vyengine, au sio.....Au siyo....[emoji28]
HahahahaWaowaji tunaenda kuoa Kenya,Uganda,Rwanda hapa mie naenda Bujumbura kuchukua jiko wadada wa bongo tunafanya mazoezi na kupata experience tu.samahani mnisamehe lakini ukweli ndo huo.
Mbona kuna siku mchungaji wa kanisa la mtongani mwaka jana aliwahi fanya ibada ya wasio olewa mbona alijaza kanisa mpaka nje? Au hakuna aliye toa hiyo habari alijaza watu [emoji848][emoji848][emoji848] mpaka ?Hili kongamano inabidi lifanyike na humu jf, wahanga wapo humu wengi sana.
Habari yako kabangaWanaonyesha kuwa warembo, lakini bilabila....
Sema tuoeni jamani, maana yake kuanzia wawiliwawili au watatuwatatu au mwisho wannewanne.Duuh! Ila kwa wingi Wanawake tulionao na wanaume wa sasa walivyo wagumu upande wa kuoa lazima idadi iwe kubwa kiasi hiki. Lol.
Wanaume muwowe jamaani.
InshaallahHahahahahaha...Mungu atakufanyia wepesi
Mm siwezi kuoa wanawake 2 hata wakipitisha hiyo sheria. Mwanamke hata km ni mzuri wa sura lkn tabia mbaya atasubiri sana. Km wengine wameolewa wao wameshindwa nini? Wawailize wenzaomakanisa ya kikristo yaangalie upya sheria,watu waweze kuoa wanawake angalau kuanzia 2
Vidume wa kuoa wapo saaana tu tena su waoga wa ndoa bali waoga wa mambo na tabia zenu.Hahaaaa. Wote wanaogopa ndoa. Teh
Mmh. Mkuu inamaana wanawake wote hayo mambo na tabia ni moja?Vidume wa kuoa wapo saaana tu tena su waoga wa ndoa bali waoga wa mambo na tabia zenu.
Hahahaaa. Lol.Sema tuoeni jamani, maana yake kuanzia wawiliwawili au watatuwatatu au mwisho wannewanne.
Waonaje hiyo bi hajar? mi nahisi kusingekuwa na vilio wala makongamano semina vikao na mikutano ya ambao hawajaolewa
Najua hiyo ndio tabia yenu ya "uchoyo", mkishapata neema hamtaki na wenzenu waneemeke, vibaya hivyo kunjueni nafsi banaaa!, huko kwa watano hapana huo mlango mwisho wanne tu.Hahahaaa. Lol.
Japo dini inahalalisha ila duuh pagumu hapo. Ila kwa wingi wetu hata mkioa watano watano bado wapo watakaobaki.