Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Dem mzuri, ila kauli mbovu nani akuoe? Ili waolewe, Wanawake wanapaswa kujifunza communication skills, sio mapishi. Hakuna mwanaume anayeoa mpishi.
 
Wameshindwa ishi kama wanawake, wanataka ishi kisanii na wanataka 50/50. Hakuna mwanaume aliye tayari kukaa na mtu ambae anamuwekea masharti.
Hii ishu 50/50 itawagarim sana. Nature will remained to be nature whatever the case otherwise watasubiri sna
 
Samahani lakini, hivi neno "wasichana wasioolewa" limetumika kiusahihi? Nafikiri inapaswa kuwa wasichana ambao hawajaolewa.
 
M/mungu anasema oeni mwanamke kwa mambo manne!!!1-dini yake 2-uzuri wake 3-umri wake 4-nasaba au ukoo wake.Sasa wanawake wa sasa wamepoteza izo sifa asa sifa namba 1 ambayo ndo sifa muhimu kuliko sifa zote.
 
Picha ya Wasichana kwenye "KONGAMANO LA WASIOOLEWA" lililoandaliwa na Mtumishi wa Mungu Colle Karyn, inaelezwa umri huwa ni miongoni mwa vitu vinavyowanyima usingizi na hupata wasiwasi wanapofikisha miaka 25 hawajaolewa.

Jambo jingine ambalo huwanyima usingizi Wasichana wengi ni maswali ya "unaolewa lini" kutoka kwenye Jamii zinazowazunguka. via BBC

View attachment 769257
Wamekaa kama msibani
 
Mkuu umewaza kama mimi inaelekea huyu binti ana bahati sema hajielewi
Sio ajielew inawezekana waliopita apo wanemuona ni pasua Kichwa tatizo lao walioenda ktk Ilo kongamano ni sawa na mtu alijikwaa alafu akachukia pale alipodondokea lakin alitakiwa aangalie nn kilichomuangusha ili ajifunze.
 
"Lipangalo dunian, litakubalika mbingun" yesu alimuachia maagizo haya petro kama papa wa kwanza

Tutoke katka mke mmoja tuingie katka wake wawil, wasaidiz wetu wanazalilika mchna kweupee
Mke mmoja tu pasua kichwa,then unataka ulazimishe watu waoe wa pili..no kila mtu apambane na hali yake
 
Si haba ni warembo hakika,..wakaka embu oeni jamani khaa hivi kwa mfano dadako yuko hapo unajisikiaje moyoni...oeni na nyie Dada zenu wapate neema ya kuolewa lol[emoji23][emoji23][emoji23]...
Tunapendaa saana kuwaoa lakini tatizo wengi wenu mnataka kutukalia vichwani, na pia wenyewe hampendani kwa maana tukitaka kuongeza wenzenu kihalali hamtaki, mnaona bora tuwe na michepuko!........mtasugua sana kwa style hiyo.
 
Back
Top Bottom