Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Wameshindwa ishi kama wanawake, wanataka ishi kisanii na wanataka 50/50. Hakuna mwanaume aliye tayari kukaa na mtu ambae anamuwekea masharti.
Kabisa mkuu, wanawake wengi hawajui kuwa hakuna mwanaume anayetaka mtu wa kuukalia kichwani. Siku hizi wanawake wanajifanya wajuaji sana na ndiyo maana wanaume wanawajaza tu mimba na kuwaacha. Kumpata mwanamke anayejitambua kama "mwanamke" limekuwa ni jambo gumu sana katika kizazi hichi cha DotCom.

Nabii Isaya kuna mahali alisema kuna siku inakuja wanawake saba watamfuata mume mmoja na kumwambia, tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa nguo zetu wenyewe; lakini tuitwe tu kwa jina lako utuondolee aibu hii.

Mimi naamini huo wakati karibu utafika maana siku wanaume hawaoi na wanawake wanazidi kuzaliwa wengi kuliko wanaume. Miaka kumi au ishirini ijayo, ndoa itakuwa adimu sana kama almasi ya rangi ya bluu!
 
Siyo suala la kukaa vikao na kuamua. Ni sheria tu.

Mathayo 19:4 Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
5 akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
6 Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
7 Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
8 Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Akiuliza swali usini - tag. Mpe mistari mingine tena akimbizane nayo
 
unajua hili swala linatokana na mashauzi ya hawa mabinti pale boy anakua yupo kwenye kipindi cha kutafuta maisha sasa ile zarau anayomletea yule kijana inamharibu kisaikolojia na yeye akija kupata anaishia kuwachezea tu coz hata moyo wa kupenda hana tena kutokan na mateso aliyopata akiwa hana chochot
Umenigusa mkuu, mule mule
 
Wengi wameshindwa kuwapata wanaume wa kuwaoa sababu kuu ni wao kujifanya wanaharakati wa mapenzi hawataki kupika,kufanya kazi ni wababe sasa wanaume hatuoi sura yako bali tabia zako.Hata uwe na sura mtafutano kama mienendo yako ni A utaolewa tu but sura A mienendo zero utabaki kuzalia nyumbani na kujaza mitoto humpati dume wa kukuoa.
Wanawake badilikeni tambueni kuwa kama sura hata mbwa anayo.
 
Back
Top Bottom