Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Kwa vyovyote vile kwa uchoyo wako utakataa, sasa atakuuliza swali uchague moja kati ya haya mawili
A. Umruhusu amlete mwenza
Au
B.Awe na mchepuko (kumbuka mchepuko ni dhambi kuubwa kwa imani yako)
Haya lete jawabu bint hajar(jiwe).
Nataka nione leo kama mtu hajaingia mitini.
Hahahaaaaa. Lol.

Sio kwa kunibananisha huko jamaani lol. Nimekosa jibu kwa kweli. Hahaaaa.
 
Kundi lote hili lisipopata ndoa unafikiria nini kitatokea kwa mazingira yetu ya UKATA huu?!!!!!!
 
Tatizo wanawake wengi wako interested zaidi na HARUSI badala ya NDOA. I hope watanielewa😀
 
Hahahaaaaa. Lol.

Sio kwa kunibananisha huko jamaani lol. Nimekosa jibu kwa kweli. Hahaaaa.
Haya kwa ridhaa yako ukiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu yoyote mpe kibali shem awe huru kuongeza mwenzio kwa idhni ya Allah, nawe Allah akufungulie mambo yako.
 
Haya kwa ridhaa yako ukiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu yoyote mpe kibali shem awe huru kuongeza mwenzio kwa idhni ya Allah, nawe Allah akufungulie mambo yako.
Hahaaaa. Nimecheka sana leo Kaka. Lol

Wasema tu kaka ila ujui vinavyouma.
 
Back
Top Bottom