Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Wameshindwa ishi kama wanawake, wanataka ishi kisanii na wanataka 50/50. Hakuna mwanaume aliye tayari kukaa na mtu ambae anamuwekea masharti.
Very true, wayakubali maandiko ya vitabu vitakatifu,waache kufata mambo ya KIBEIJING
 
Hahaaaa. Nimecheka sana leo Kaka. Lol

Wasema tu kaka ila ujui vinavyouma.
Haya kama umecheka naamini umefurahi, kuhusu hilo jambo kuuma hilo nalijua saaana ila ndio sehemu ya mitihani mlopewa na Allah ni lazima mjitahidi mfaulu na si vinginevyo.
Haya usiku mwema, msalimie shem mwambie aanze mikakati fasta ila awe mwangalifu na pia achunge haki zako
 
Sijasikia hio. Humo na wapenda midondo lazima walikuwepo!
Yaani walikuwa wengi sana nazani kama itatokea tena nitakushitua uende pale mwaka jana ilikuwa kuna siku tena ilikuwa ni jumamosi
 
tatizo machaguzi mengi watoto wa kike sikuhizi wanataka hadi uwe na kucha zote za miguu ngachokaa....
 
Makongamano haya mbona yanachekiaa sana siku hizi, juzi juzi nilisikia kongamano la single maza
[emoji16][emoji41][emoji41][emoji41] single mother anatiwa moyo ili wasijione kama wanayengwa [emoji5][emoji5][emoji5]
 
Mbona mkitongozwa mnakataa? au inamaana wote hao hawajawahi kutongozwa?
 
kama kuna mdada mmoja wenu alikua kwenye kongamano hilo nifate p ,tujenge ya kwetu
 
Back
Top Bottom