Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Hii ni kweli kabisa,mtu ajishushe kwa mapenzi yake mwenyewe ila sio ajishushe kwa mtu asiyemthamini maana hayo sio maisha kabisaaaaa.....
Hapo sio kabisa, jishushe na mtu aone dhamani yako, lakini eti jishushe yeye ndiyo apate fimbo ya kukuchapia,
hapana kwa jinsi Mungu kanipa akili nitajitafutia mwenyewe aende tu huko
 
Naona "wasioolewa" wakutane na "wasiooa" kwenye kongamano linalofuata
 
50/50 inawaponza sana wanawake. Sikui beijing na vitu kama hivyo!
 
Ha ha ha ha yaani hapo mahari unaweza kuambiwa leta pakti mbili za dagaa uchukue mke
 
Kwa wasioelewa thamani yao watafanya hivyo,na watatoa kwa wanaume wasiojielewa pia
Tembea uone au kuwa uyaone. Hata sasa wapo wanawake wanaowatolea mahari wanaume wawapendao japo huwa hawatoi direct hutoa indirect. Mwanamke anampa mwanaume hela anamuambia njoo nyumbani unitolee mahari.
 
Aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…