Hata CDF nae anatumia darubini hapo maana hayo mazoezi yalikuwa yanafanyika at a certain distance. Ila alichokifanya waziri wa ulinzi si bora angeuliza tu matumizi sahihi ya hiko kifaa au angeibia ronja toka kwa mkuu wake pembeni tuπ€£π€£π€£
Sio kwamba huwa inatumika mbele na nyuma?Sasa Mh Waziri mbona hyo Binocular yenyewe kaigeuza?!
Sina hakika. Ila mara zote nionavyo inashikiliwa kama Rais na CDF walivyoibebaSio kwamba huwa inatumika mbele na nyuma?
Yaani kugeuza binocular nayo ni stori?Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikuona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
Una hisaYaani kugeuza binocular nayo ni stori?
Hapo siyo kwamba haelewi matumizi yake isipokuwa alikuwa akitest muonekano wa image tu kama kujifunza kitu flani.
Kwa sababu ukiangalia kitu kwa kutanguliza 'pakubwa' mbele, image huonekana vizuri safi kabisa na kwa ukubwa.
Na kinyume chake kama alivyofanya yeye, ukitanguliza 'padogo' mbele, image huonekana kwa udogo sana na zikiwa mbali hauwezi kuzitambua.
Anaona kwa udogo.Mh Waziri katupiga kamba hapa. Haoni kitu bila shaka
Kulijua jambo mpaka uwe na hisa mkuu!?Una hisa
hahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.......Sasa Mh Waziri mbona hyo Binocular yenyewe kaigeuza?!
ππππWewe na mama Tax wote fungu moja.Hata CDF nae anatumia darubini hapo maana hayo mazoezi yalikuwa yanafanyika at a certain distance.