Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Kinachosikitisha na kuumiza sana sio waziri kugeuza binocular ila ni waziri wa ulinzi kugeuza binocular

Huyu ndio anategemewa apiganishe vita iwapo itatokea!

Hii nchi sijui vetting ilipoteaga wapi sijui
 
Kumbee wengi humu hamjui matumizizi ya banokulaaa....kuna kiona mbali na karibu,kwa waziri alivyp fanya nikuweka kiona mvali,kwamba kitu kipo kwaribu unataka ukione kwa umbali,huo upande mwingine nikitu kipo mbali unataka kukiona karibu
 
Nyuki wa Mama mpo?

Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani

Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikuona kweli alichokuwa anakiangalia? :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Narudisha mpira kwenu nyuk
We Jamaa hio binocular ni ya mbugani unaweza kuzitumia kwa mbele na kwa nyuma
 
Screenshot_2024-08-23-18-20-44-22_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
 
Nyuki wa Mama mpo?

Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani

Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia? :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Narudisha mpira kwenu nyuk
20240823_124721.jpg
 
Itakuwa anataka kuona vitu kwa uduchu...😀
 
Back
Top Bottom