Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Kumbee wengi humu hamjui matumizizi ya banokulaaa....kuna kiona mbali na karibu,kwa waziri alivyp fanya nikuweka kiona mvali,kwamba kitu kipo kwaribu unataka ukione kwa umbali,huo upande mwingine nikitu kipo mbali unataka kukiona karibu
Kuna 🔎 na kuna binoculars
Kama ni kukuza kitu basi tunatumia magnifying glass 😄
Ila Telescope na binoculars ni upande mmoja tu ndio ninavyojua maana nimetumia sana mpaka night vision pia nilikuwa nayo
 
We Jamaa hio binocular ni ya mbugani unaweza kuzitumia kwa mbele na kwa nyuma
Naelewa hiyo, na kila unapoangalia kuna effect tofauti, kwa uelekeo aliotumia anaona objects kwa size gani? Wajuzi pia wameongeza hapa kwa hii ni ya kuangalia upande mmoja tu, hivyo utakuwa umepata jibu lako Mkuu
 
Nyuki wa Mama mpo?

Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani

Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia? :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Narudisha mpira kwenu nyuk
Nadhani ndiyo alikuwa anakisogeza mahali pake kwa ajali kamerq ikamnasa.
Namfahamu huyo mama si mshamba wa mambo hayo hata kidogo
 
Nyuki wa Mama mpo?

Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani

Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia? :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Narudisha mpira kwenu nyuk
Wivu tu unakusumbua
 
Kwakweli mm ni aibu. Nchi zilizowndelea mawaziri wa ulinzi wanakuwa nanbackground ya vyombo vya ulinzi na usalama, huyu sijui vigezo vilikuwa ni vipi
 
humu ndani kuna members na ex members wa vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama. Huongei na watoto au washamba, watu wanajua mhe kazingua hakuna cha kufunika aibu kazinguaaaaaa
mmezuzuliwa vizuri sana kama adui vile, dah

jamii inafurahia changa la macho la kitechnolojia wazi wazi kabisa dah 🐒
 
Back
Top Bottom