May be. Ila naamini hatachomoa kwasababu ya kushindwa kuielewa misamiati mipya ya vijana mfano neno "mtiani"Wenda umri pia unachangia, mfano Prof Kabudi na sheria zake leo nikimtungia mtiani hachomoi , lazima nimlambe sup, kama anabisha nimtungie kama atachomoa , wazee wanatakiwa kutulia ila hawataki

mtu kapoz serious kabisa afu unasema alikuwa anafanyaje? Usitufanye wajinga bana