Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Kinachosikitisha na kuumiza sana sio waziri kugeuza binocular ila ni waziri wa ulinzi kugeuza binocular

Huyu ndio anategemewa apiganishe vita iwapo itatokea!

Hii nchi sijui vetting ilipoteaga wapi sijui
 
Kumbee wengi humu hamjui matumizizi ya banokulaaa....kuna kiona mbali na karibu,kwa waziri alivyp fanya nikuweka kiona mvali,kwamba kitu kipo kwaribu unataka ukione kwa umbali,huo upande mwingine nikitu kipo mbali unataka kukiona karibu
 
We Jamaa hio binocular ni ya mbugani unaweza kuzitumia kwa mbele na kwa nyuma
 
 

Itakuwa anataka kuona vitu kwa uduchu...πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…