Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Walio mpa bila maelekezo wachapwe fimbo 🀣🀣🀣nae angejiongeza akaangalia pembeni akaona wenzake wameshika vip...ngoja waione wakenya huko tik tok itajaa vituko vya mama yetu🀣🀣🀣
 
Acha upopoma bapo KACHEMKA HAJUWI MATUMIZI....angeweka kitu (nzi?) mbele tena kwa jicho moja tu ...hapo ungesema yuko maabara....
 
Usikute wala hajuwi jukumu la kazi yake, yaani kutumia binoculars tu inamshinda jamani?
 
Ficha ujinga kiongozi, ficha ujinga kiongoziii. Mbaya hiyoo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…