Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
Hii nchi vituko tupu mkuu😂😂😂
Halafu huyo c waziri wa ulinzi au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu huyo c waziri wa ulinzi au
Picha kali ni ya askari mwenye camera. Tuachane na hayo, bandari zangu mnatoa hamtoi?
Hii nchi vituko tupu mkuu😂😂😂
Sasa unakuta mtu amesomea u-HR halafu anakuja kupewa wizara ya ulinzi ety kisa waziri sio Mtendaji mkuu wa wizara hapo unategemea nn 😂Waziri wa ulinzi hajui ata kutumia Binocular.!!! Hii nchi ina upumbavu mwingi sana!
Acha upopoma bapo KACHEMKA HAJUWI MATUMIZI....angeweka kitu (nzi?) mbele tena kwa jicho moja tu ...hapo ungesema yuko maabara....Yaani kugeuza binocular nayo ni stori?
Hapo siyo kwamba haelewi matumizi yake isipokuwa alikuwa akitest muonekano wa image tu kama kujifunza kitu flani.
Kwa sababu ukiangalia kitu kwa kutanguliza 'pakubwa' mbele, image huonekana vizuri safi kabisa na kwa ukubwa.
Na kinyume chake kama alivyofanya yeye, ukitanguliza 'padogo' mbele, image huonekana kwa udogo sana na zikiwa mbali hauwezi kuzitambua.
Huu uzi UFUTWE...Wakenya wakiiona hii picha tumekwisha😂😂😂
Usikute wala hajuwi jukumu la kazi yake, yaani kutumia binoculars tu inamshinda jamani?Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
Nchi ipo matopeni 😂😂😂Huu uzi UFUTWE...
Tutegemee maajabu kama hayoSasa unakuta mtu amesomea u-HR halafu anakuja kupewa wizara ya ulinzi ety kisa waziri sio Mtendaji mkuu wa wizara hapo unategemea nn 😂
Ficha ujinga kiongozi, ficha ujinga kiongoziii. Mbaya hiyoo!!Yaani kugeuza binocular nayo ni stori?
Hapo siyo kwamba haelewi matumizi yake isipokuwa alikuwa akitest muonekano wa image tu kama kujifunza kitu flani.
Kwa sababu ukiangalia kitu kwa kutanguliza 'pakubwa' mbele, image huonekana vizuri safi kabisa na kwa ukubwa.
Na kinyume chake kama alivyofanya yeye, ukitanguliza 'padogo' mbele, image huonekana kwa udogo sana na zikiwa mbali hauwezi kuzitambua.
Aibu kubwaaaaUsikute wala hajuwi jukumu la kazi yake, yaani kutumia binoculars tu inamshinda jamani?
Tena alikua ana test mitambo kamera ikamchukua faster ikapita nae!!Still picture haitoshi kuhukumu maana inategemea ilipigwa wakati gani, huenda ndio alikuwa ametoka kukiinua.. Walau video ingefikisha taarifa kamili