Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Ujuaji at it's peak😁😁
 
Kutumia macho ya shetani tuu hajui alafu ndio "warizi" wa ulinzi πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ uswahilini tunapigwa sana aisee πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Still picture haitoshi kuhukumu maana inategemea ilipigwa wakati gani, huenda ndio alikuwa ametoka kukiinua.. Walau video ingefikisha taarifa kamili

Bc tuseme na hao wngn pia wamekosea mana huenda nao ndio walikuwa wametoka kuinua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…