Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Nyuki wa Mama mpo?

Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani


Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia? :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Narudisha mpira kwenu nyuk
Ujuaji at it's peak😁😁
 
Kutumia macho ya shetani tuu hajui alafu ndio "warizi" wa ulinzi 🙆🏿‍♂️ uswahilini tunapigwa sana aisee 😆😆😆😆😆
 
Still picture haitoshi kuhukumu maana inategemea ilipigwa wakati gani, huenda ndio alikuwa ametoka kukiinua.. Walau video ingefikisha taarifa kamili

Bc tuseme na hao wngn pia wamekosea mana huenda nao ndio walikuwa wametoka kuinua
 
Back
Top Bottom