Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hapo haoni kitu.....hakuna object iliyokaribu less than 1 cm tena anatazama kwa macho mawili akiwa amegeguza binocular....kifupi HAJUWI MATUMIZI.....mashikolo mageniWewe ni mtu wa namna gani mwenye ujuaji usioweza kujenga hoja nje ya box?
Unachokisoma kwenye maandishi theoretically chaweza kuwa si hicho unachong'ang'aniza nikubaliane nawewe, darubini zipo za aina nyingi bhana.
Mimi vifaa hivyo nilishavitumia practically/phisically kwa muda mrefu, kwahiyo ninavijua siyo kwa kusimuliwa ndiyo maana nimekomaa kujenga hoja.
Labda nikuulize, ni aina gani ya darubini unayoiongelea na kutandaza formular hapa?
Hizo binoculars za kijeshi/kitalii zinazoongelewa hapa nimezitumia na kuzichezea kwa miaka nenda rudi ninazijua kwa undani.
Siwezi kukaa na kifaa miaka yote hiyo nisijue namna kinavyofanya kazi ama kushindwa kujaribu kutafiti kutazama kwa kinyume kama anavyofanya huyo Waziri!
Binocullar ukiigeuza inaona vitu kwa udogo, ukubali ukatae habari ndiyo hiyo period
Binocular ukiigeuza unatazama kwa jicho moja ....tundu moja kwenye object iliyokaribu mfano kuona sisimizi nk sasa hapo huyo mtumiaji anaona nini kam si hewa tu....

mtu kapoz serious kabisa afu unasema alikuwa anafanyaje? Usitufanye wajinga bana