Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Niliambiwa pia zipo saa za mkononi, miwani na kalamu hufanya hiyo kazi
 
Nyuki wa Mama mpo?

Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani

Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia? :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Narudisha mpira kwenu nyuk
Aise dah hii sio poa
 
Ujinga mtupu

Yaani picha ya moment ndio kiashiria waziri hajui kutumia kifaa.

Common sense nani mwenye akili timamu akipewa binoculars hajui kulenga.

Yaani mtu kutumia sekundę kadhaa kulenga sehemu nyingine ndio hajui kutumia kifaa.

Kama kifaa ambacho kinaweza tumiwa na mtoto mdogo kudhani mtu mzima kitamshinda na ikawa hoja kwenye jamii. Hiki ni kielekezo cha ujinga wa watanzania.

Kabisa kuna wapuuzi wanaamini unahitaji special training kutumia binoculars kuangalia tukio na waziri hajui. Na kuna watu wakaamini inataka maarifa ya kutumia binocular basi kiwango cha upuuzi wetu is beyond this worldZ
 
Sijui alikuwa anaona nini?
 
Ujinga wakati wa kwenda kurudi kila mtu anajua njia...suala la kawaida kuwa na phd ya sheria haimaanishi unajua mid cubital vein...
Alipaswa tu kuelekezwa sio mwanajeshi huyo mkumbuke
 
Ndugu uhitaji mafunzo ya kitaalamu ya malenga (snipers) kutumia binocular useme upime wind speed na kadhalika kabla ya kufyatua risasi ya mbali kama kilometre kadhaa ili kupata target.

Kwa matumizi ya kuangalia matukio tu hata mtoto wa miaka mitatu mradi anajua anaangalia nini anaweza tumia binocular. Ni ushamba kudhani mtu wa miaka 60 hawezi jua kutumia.
 
Alikua anataka kuwaona kwa mbali,ukigeuza hivyo unaona watu wako mbali mnooo
 
Ujinga mtupu

Yaani picha ya moment ndio kiashiria waziri hajui kutumia kifaa.

Common sense nani mwenye akili timamu akipewa binoculars hajui kulenga.

Yaani mtu kutumia sekundę kadhaa kulenga sehemu nyingine ndio hajui kutumia kifaa.

Kama kifaa ambacho kinaweza tumiwa na mtoto mdogo kudhani mtu mzima kitamshinda na ikawa hoja kwenye jamii. Hiki ni kielekezo cha ujinga wa watanzania.

Kabisa kuna wapuuzi wanaamini unahitaji special training kutumia binoculars kuangalia tukio na waziri hajui. Na kuna watu wakaamini inataka maarifa ya kutumia binocular basi kiwango cha upuuzi wetu is beyond this worldZ
Ukitaka kujua kwanini watu wanamsema sana na kumponda, imagine ingekuwa ni bunduki!!

Angejilipua na wote walio nya yake

Ila mnisamehe bure, sijawahi kuona chichote anachojuwa huyu mama kuanzia akiwa SADC wakati wa JK
 
Ndugu uhitaji mafunzo ya kitaalamu ya malenga (snipers) kutumia binocular useme upime wind speed na kadhalika kabla ya kufyatua risasi ya mbali kama kilometre kadhaa ili kupata target.

Kwa matumizi ya kuangalia matukio tu hata mtoto wa miaka mitatu mradi anajua anaangalia nini anaweza tumia binocular. Ni ushamba kudhani mtu wa miaka 60 hawezi jua kutumia.
Huyu ana miaka 60 lakini hajui sasa tayari. Dumbest minister of defence in the history of Tanzania
 
For a curious person, hata mimi ningeweza kufanya alichofanya Mama Tax ili kuona "what happens" lakini wakati kwangu ingekuwa ni out of curiosity, hapo hapo wengine ndo wangekuwa wamenifotoa na mjadala kuwa kama huu! Sitaki kuamini eti Mama Tax alikuwa hafahamu wakati hata ukiishika tu, unajua wapi mbele na wapi nyuma!
 
Eventually I have figured the issue of her ridicule it’s the side used for observation
🫣🫣🫣
Dint catch that at first
😂😂😂

Majanga
 
20240825_051231.jpg
 
Hata CDF nae anatumia darubini hapo maana hayo mazoezi yalikuwa yanafanyika at a certain distance. Ila alichokifanya waziri wa ulinzi si bora angeuliza tu matumizi sahihi ya hiko kifaa au angeibia ronja toka kwa mkuu wake pembeni tu🤣🤣🤣
Hajazoea kupiga chabo kwa mwingine, huwa anajitahidi kutumia akili yake. 😀
 
Kiongozi watz tuache tu kama tulivyo.......ndo maana watu wanaamua kujipigia tu.
I get that kwa uhalisia wa utamaduni uliopo na njia ambazo jamii inazozijua.

Ndio maana uwezi laumu watu, isipokuwa unalaunu mfumo unaolea matendo ya watu kujipigia na wao kuona hiyo ni njia halali ya kufikia malengo yao.

Solution ni mtu wa kubadilisha culture na kuwabana watu ya kuwa hizo ni fikra potofu na hiyo kazi sio rahisi na wala sio popular
 
Nyuki wa Mama mpo?

Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani

Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia? :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Narudisha mpira kwenu nyuk
Atamweza kweli kuandika mikataba Vizuri kweli Kama kitu Kama hicho kinamshinda!!!Mama wa Watu kazeeka.
 
For a curious person, hata mimi ningeweza kufanya alichofanya Mama Tax ili kuona "what happens" lakini wakati kwangu ingekuwa ni out of curiosity, hapo hapo wengine ndo wangekuwa wamenifotoa na mjadala kuwa kama huu! Sitaki kuamini eti Mama Tax alikuwa hafahamu wakati hata ukiishika tu, unajua wapi mbele na wapi nyuma!
Wewe una tatizo kuliko Mama Tax. Unahitaji daktari wa afya ya akili
 
Yaani kugeuza binocular nayo ni stori?

Hapo siyo kwamba haelewi matumizi yake isipokuwa alikuwa akitest muonekano wa image tu kama kujifunza kitu flani.

Kwa sababu ukiangalia kitu kwa kutanguliza 'pakubwa' mbele, image huonekana vizuri safi kabisa na kwa ukubwa.

Na kinyume chake kama alivyofanya yeye, ukitanguliza 'padogo' mbele, image huonekana kwa udogo sana na zikiwa mbali hauwezi kuzitambua.
sikuhizi watz wamekuwa watu wa hovyo sana, binocular imekuwa story kweli?
 
Back
Top Bottom