Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise dah hii sio poaNyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
Sijui alikuwa anaona nini?Nyuki wa Mama mpo?

Ndugu uhitaji mafunzo ya kitaalamu ya malenga (snipers) kutumia binocular useme upime wind speed na kadhalika kabla ya kufyatua risasi ya mbali kama kilometre kadhaa ili kupata target.Ujinga wakati wa kwenda kurudi kila mtu anajua njia...suala la kawaida kuwa na phd ya sheria haimaanishi unajua mid cubital vein...
Alipaswa tu kuelekezwa sio mwanajeshi huyo mkumbuke
Ukitaka kujua kwanini watu wanamsema sana na kumponda, imagine ingekuwa ni bunduki!!Ujinga mtupu
Yaani picha ya moment ndio kiashiria waziri hajui kutumia kifaa.
Common sense nani mwenye akili timamu akipewa binoculars hajui kulenga.
Yaani mtu kutumia sekundę kadhaa kulenga sehemu nyingine ndio hajui kutumia kifaa.
Kama kifaa ambacho kinaweza tumiwa na mtoto mdogo kudhani mtu mzima kitamshinda na ikawa hoja kwenye jamii. Hiki ni kielekezo cha ujinga wa watanzania.
Kabisa kuna wapuuzi wanaamini unahitaji special training kutumia binoculars kuangalia tukio na waziri hajui. Na kuna watu wakaamini inataka maarifa ya kutumia binocular basi kiwango cha upuuzi wetu is beyond this worldZ
Huyu ana miaka 60 lakini hajui sasa tayari. Dumbest minister of defence in the history of TanzaniaNdugu uhitaji mafunzo ya kitaalamu ya malenga (snipers) kutumia binocular useme upime wind speed na kadhalika kabla ya kufyatua risasi ya mbali kama kilometre kadhaa ili kupata target.
Kwa matumizi ya kuangalia matukio tu hata mtoto wa miaka mitatu mradi anajua anaangalia nini anaweza tumia binocular. Ni ushamba kudhani mtu wa miaka 60 hawezi jua kutumia.
Eventually I have figured the issue of her ridicule it’s the side used for observationHuyu ana miaka 60 lakini hajui sasa tayari. Dumbest minister of defence in the history of Tanzania
Hajazoea kupiga chabo kwa mwingine, huwa anajitahidi kutumia akili yake. 😀Hata CDF nae anatumia darubini hapo maana hayo mazoezi yalikuwa yanafanyika at a certain distance. Ila alichokifanya waziri wa ulinzi si bora angeuliza tu matumizi sahihi ya hiko kifaa au angeibia ronja toka kwa mkuu wake pembeni tu🤣🤣🤣
I get that kwa uhalisia wa utamaduni uliopo na njia ambazo jamii inazozijua.Kiongozi watz tuache tu kama tulivyo.......ndo maana watu wanaamua kujipigia tu.
Atamweza kweli kuandika mikataba Vizuri kweli Kama kitu Kama hicho kinamshinda!!!Mama wa Watu kazeeka.Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
Wewe una tatizo kuliko Mama Tax. Unahitaji daktari wa afya ya akiliFor a curious person, hata mimi ningeweza kufanya alichofanya Mama Tax ili kuona "what happens" lakini wakati kwangu ingekuwa ni out of curiosity, hapo hapo wengine ndo wangekuwa wamenifotoa na mjadala kuwa kama huu! Sitaki kuamini eti Mama Tax alikuwa hafahamu wakati hata ukiishika tu, unajua wapi mbele na wapi nyuma!
Nashukuru Mayor Quimby kwa ku concede leo na kukubali kuwa honourable minister ni mtupuEventually I have figured the issue of her ridicule it’s the side used for observation
🫣🫣🫣
Dint catch that at first
😂😂😂
Majanga
sikuhizi watz wamekuwa watu wa hovyo sana, binocular imekuwa story kweli?Yaani kugeuza binocular nayo ni stori?
Hapo siyo kwamba haelewi matumizi yake isipokuwa alikuwa akitest muonekano wa image tu kama kujifunza kitu flani.
Kwa sababu ukiangalia kitu kwa kutanguliza 'pakubwa' mbele, image huonekana vizuri safi kabisa na kwa ukubwa.
Na kinyume chake kama alivyofanya yeye, ukitanguliza 'padogo' mbele, image huonekana kwa udogo sana na zikiwa mbali hauwezi kuzitambua.