Picha ya Zarina Hassan(Zari The Boss Lady) Yazua Gumzo Mtandaoni

Picha ya Zarina Hassan(Zari The Boss Lady) Yazua Gumzo Mtandaoni

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Diamond Platinumz ex wife aliekuwa akisherekea 41st birthday alipigwa picha ambayo anaonekana akimkisi Mwanamke mwenzake kimahaba. Yaaani What captivated many is the lip kiss she gave a fellow lady.

Picha hii Imezua taaruki wengine wakidai labda ni Mshiriki wa Upinde wa Mvua.

Screenshot_20220530-192036.jpg

 
hapo nimekupata mshkaji wangu.

hiyo kupakatana, kukiss, na mengineo isiwe sababu ya kununua dildo na kupelekea moto feki.
Wanawake wanaweza kukiss,kupakatana na kufanya mengi na bado shida isiwepo(wasiwe lesbians)
 
Back
Top Bottom