Picha ya Zarina Hassan(Zari The Boss Lady) Yazua Gumzo Mtandaoni

Picha ya Zarina Hassan(Zari The Boss Lady) Yazua Gumzo Mtandaoni

Cocastic unanichanganya sana how you process these events!!! Nashindwa kukuelewa preference yako!
Hebu kwani unataka kujua nn yaan, hebu funguka nikusaidie.
Ili nikutoe duku duku lako.
 
Hebu kwani unataka kujua nn yaan, hebu funguka nikusaidie.
Ili nikutoe duku duku lako.
Ingawa nimedokezwa lakini nataka unitoe dukuduku wewe mwenyewe kuhusu your relationship preference!
 
Ingawa nimedokezwa lakini nataka unitoe dukuduku wewe mwenyewe kuhusu your relationship preference!
Sina relationship preference. Vipi una jingine?
Funguka nikutoe dhahania,
 
Sina relationship preference. Vipi una jingine?
Funguka nikutoe dhahania,
Kama kufunguka nimekwisha funguka vya kutosha; kwahiyo nitaamini nilichoambiwa juu yako! Basi usinitoe dhahania!
 
Jinsia ya kike ikifanya hivyo inaweza isiwe shida sana

Shida inaweza kuwepo wakifanya wanaume kwa wanaume
Wanawake/ wasichana wengi wanasagana wengine bila kujijua maana ata visichana vya shule na chuo vinatabia za kushikanashikana ,mara kiss ,mara kupakatana, yaani umarekani mwingi kumbe ndo wanasagana bila kujua
 
Back
Top Bottom