Picha ya Zarina Hassan(Zari The Boss Lady) Yazua Gumzo Mtandaoni

Wakuu Diamond Platinumz ex wife aliekuwa akisherekea 41st birthday alipigwa picha ambayo anaonekana akimkisi Mwanamke mwenzake kimahaba. Yaaani What captivated many is the lip kiss she gave a fellow lady.

Picha hii Imezua taaruki wengine wakidai labda ni Mshiriki wa Upinde wa Mvua.

Mzee Zari, au?!
 
umeshalifungukia hilo shoga unataka ulipakue?

Kila siku kutokana na profile yake nilifikiri jike kumbe ni dume!!! Lakini kuna wanawake lesbians pia kwa Kiswahili nao huitwa mashoga?
 
Tatizo la JF ingawa profile picture yako inaonesha kuwa ni dame unaweza kuwa dume!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo mbna sio shida zangu. Khaaaah.
 
Wakuu Diamond Platinumz ex wife aliekuwa akisherekea 41st birthday alipigwa picha ambayo anaonekana akimkisi Mwanamke mwenzake kimahaba. Yaaani What captivated many is the lip kiss she gave a fellow lady.

Picha hii Imezua taaruki wengine wakidai labda ni Mshiriki wa Upinde wa Mvua.

Keshaumaliza mwendo
 
Anapenda kiki huyo dada asikuumize kichwa!
anapenda kujadiliwa yytu
 
Naskia ndo kilichomtoa kwa nasbu alikuwa anamtaka Esma
 
Back
Top Bottom