Picha ya Zarina Hassan(Zari The Boss Lady) Yazua Gumzo Mtandaoni

Hio ni salamu tu, mbona viongozi wa dini kuu usalimiana hivyo huko duniani
 
Ila wabongo jamani tupewe pic tu mengine tutajazia wenyewe!
 
Wengi wa hawa wadada wanaojiita ma slay queens au macelebrities ni ma Bi ........ wanafikichana wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…