Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi.

Viwanja vya Furahisha vyazidiwa watu wamesimama mguu mmoja mmoja, ukisimama miguu miwili umekanyaga mtu

Hiki hapa ni kituo cha Igoma.

Screenshot_2024-02-15-10-35-23-1.png
Screenshot_2024-02-15-10-32-23-1.png
Screenshot_2024-02-15-10-32-01-1.png
Screenshot_2024-02-15-11-14-44-1.png
 
Ni nani *mshauri wa ruhusa za maandamano??

Mbona siyo kawaida?

Ni kwanini sasa hivi 2024/2025 mwaka wa uchaguzi?

Kuna jambo hapa si kawaida kwetu!

Zamani ilikuwa CHADEMA wakifanya maazimio tu ya kuandamana tayari taarifa za 'kiintelijensia' zinasambaa, na kuzuia maandamano.
 
Halafu nimeshangaa kwanini maandamano hayapo live kama Dar au ndo wandishi walilambiishwa pesa, maana hadi waliwaandaa bodaboda nakuwahoji maswali waliyojibu kama walivyoelekezwa.
Mvua kubwa imechelewesha mambo , hata hivyo nimeamini watanzania hawaogopi mvua , wanaogopa zaidi bei ya sukari
 
Back
Top Bottom