Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Ndugu wakati mwingine kusema ukweli ni vizuri sana.Tunaro tatizo moja ambalo linazidi kukididimiza chama naro ni kuamiani kua CHADEMA we are always perfect and right...hii ilikua kanuni ya Adolf Hitler. Tunapo kua mbele kuikosoa CCM basi nasi tukubali kukosolewa maana we are not smart like that way kamanda.Msiba ni jambo la Mungu na maandamano nayo ni ya Mungu