Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwani hapa tumekuuliz Nyumba unazomiliki?Ninaijua Mwanza vizuri sana; nina nyumba mbili pale pamoja na contacts kibao. CCM sasa hivi haioendwi tena Mwanza kama zile enzi za Magufuli, tena inachukiwa sana kutokana na kero mbalimbali zilizoongeza siku za hivi karibuni, lakini chuki hiyo dhidi ya CCM bado haijajitokeza kuwa ushindi wa CHADEMA. Sana sana ni kwamba inawezekana watu wengi hawatapiga kura, jambo ambalo halitaisaida CHADEMA
We jamaa vipi😆😆